• Afisi ya rais wa Marekani ikiwa haina samani - BBC Swahili

    BBC Swahili
    Afisi ya rais wa Marekani ikiwa haina samani
    BBC Swahili
    Umewahi kujiuliza afisa ya rais wa Marekani, maarufu kwa Kiingereza kama Oval Office huwa bila viti, meza na vinginevyo? Hizi hapa ni picha za afisi hiyo katika hali hiyo. Ikulu ya White House imekuwa ikifanyiwa ukarabati mkubwa, kwa mara ya kwanza ...