• Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini - BBC Swahili

    BBC Swahili
    Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini
    BBC Swahili
    Serikali ya Marekani haitaki mabadiliko ya utawala Katika Korea Kaskazini, waziri wa mambo ya nje wa Marekani anasema, huku hofu ikitanda juu ya mpango wa silaha wa Pyongyang. "Sisi si maadui zenu, " Rex Tillerson alisema, na kuongeza kuwa ...