• Ronaldo amshinda Messi na kutwaa tuzo ya Ballon D'or tena - BBC Swahili

    BBC Swahili
    Ronaldo amshinda Messi na kutwaa tuzo ya Ballon D'or tena
    BBC Swahili
    Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka wa pili mfululizo usiku wa kuamkia leo. Ronaldo amemshinda mpinzani wake wa karibu Lionel Messi, katika tuzo hiyo na kuweza kuitwaa kwa mara ya tano na kuwa sawa na Messi ambae pia ametwaa kwa mara tano. Nyota wa Barcelona Lionel Messi, amepata nafasi ya pili huku mchezaji mahiri wa Psg ya nchi Ufaransa Neymar Jr,ak